Zaburi 100:4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu ; Mshukuruni, lihimidi jina lake. Kwa kuwa Bwana ndiy...
Zaburi 100:4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu ; Mshukuruni, lihimidi jina lake. Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi. Ndugu yangu. AKILI ZETU ZINA KIKOMO, LAKINI SIO MUNGU. ILIMRADI BADO YUPO ENZINI, BADO KUNA TUMAINI. Mungu akubariki sana.

COMMENTS