Mshindi wa pili Bongo Star Search (BSS 2018) Assagwile Mwasongwe kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 anaitambulisha wimbo wake mpya unaoitw...
Mshindi wa pili Bongo Star Search (BSS 2018) Assagwile Mwasongwe kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020 anaitambulisha wimbo wake mpya unaoitwa Asante Baba.
“Asante baba ni wimbo unaozungumzia Moyo wa SHUKRANI kila jambo unalolifanya
Mungu ndio muanzilishi na ndiye anaweza kulimaliza hivyo basi shukuru kwa kila jambo” – Asagwile
Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Eimen.

Connect::
Whatsapp: +255 716 323 446
Facebook: Asagwile Mwasongwe
Instagram: @asagwilemwasongwe
YouTube: Asagwile Official
COMMENTS